habari za sasa hivi kitaifa,kimataifa,makala,burudanina michezo

Wednesday, November 12, 2014

Posted by Unknown | 5:56 AM | No comments

 
 
Kocha  wa Timu ya Taifa ya England kulia akiwa na Wayne Rooney
 
 
Siku ya jumamosi England itakipiga na Slovenia, ambapo Rooney atatimiza mechi yake ya 100
Kocha wa England Roy Hodgson amemsifu nahodha wa timu hiyo ya taifa Wayne Rooney kabla hajacheza mechi ya 100 katika michuano ya michuano ya ulaya mwaka 2016, ambapo England itakutana na Slovenia.

Rooney (29), alianza kuichezea timu ya England akiwa na miaka 17 mwaka 2003 na ni mfungaji wa nafasi ya nne akiwa ashatia nyavuni magoli 43.

Rooney ana kadi sita nyekundu, mbili akiwa na England, Hodgson ameeleza. Kazi yake hii imekuwa na vikwazo ya kila namna lakini imemkomaza na kumkuza kiakili.

Akizungumza na Radio 5 ya BBC, Hodgson amesema kuwa Rooney ni mkombozi wa soka la uingereza, kuhakikisha kuwa kila mmoja yuko sawa na anaridhika na kuhakikisha kuwa hakuna tatizo ndani ya kikosi.

0 comments:

Post a Comment

Bookmark Us

Delicious Digg Facebook Favorites More Stumbleupon Twitter