habari za sasa hivi kitaifa,kimataifa,makala,burudanina michezo

Wednesday, November 12, 2014

Posted by AMMY YEYOO | 3:40 AM | No comments
Screen Shot 2014-11-12 at 11.17.48 AMNi Basi la Wibonela Express linalofanya safari zake kati ya Kahama – Dar ambalo lilipinduka baada ya kutoka stand kuu ya kahama kilometa chache toka stand hiyo kwenye eneo la Phantom ambapo taarifa kutoka Polisi zinasema waliofariki ni watu wanne.
Taarifa za awali zinasema chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi.ZIFUATAZO NI PICHA ZA TUKIO.......
Screen Shot 2014-11-12 at 11.17.55 AM
Screen Shot 2014-11-12 at 11.18.01 AM
Screen Shot 2014-11-12 at 11.17.35 AM
Screen Shot 2014-11-12 at 11.17.29 AM
Screen Shot 2014-11-12 at 11.17.21 AM
Screen Shot 2014-11-12 at 11.17.10 AM
Screen Shot 2014-11-12 at 11.18.13 AM

0 comments:

Post a Comment

Bookmark Us

Delicious Digg Facebook Favorites More Stumbleupon Twitter