| Watangazaji wa kipindi cha 106 & Park Bow Wow na Keshia Chanté |
Bow Wow na Keshia Chanté watafanya show ya mwisho, December 19, imetangazwa jana.
Kipindi hicho kilianzishwa mwaka 2000 na watangazaji Free na AJ na mwaka 2006 Terrence J na Rocsi Diaz walikishika.
Hata hivyo mwaka 2015 kipindi hicho kinatarajiwa kupelekwa digital zaidi na kitakuwa kikionekana kupitia BET.com na kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii.
Watangazaji wa kipindi cha 106 & Park Bow Wow na Keshia Chanté
Baada ya miaka 14 ya kuwa hewani, kipindi maarufu cha 106 & Park cha BET kitasitishwa.

0 comments:
Post a Comment